banner

The New Stuff

117 Views

MICROSOFT YASHAURI SERIKALI YA MAREKANI KUBADILI SERA KUDHIBITI UVAMIZI WA MTANDAONI


Kampuni kubwa ya programu za kompyuta ya Microsoft ya nchini Marekani imesema wavamizi waliofanya uvamizi mkubwa wa mtandaoni walitumia teknolojia iliyoibwa kutoka Idara ya Usalama wa Taifa la Marekani, NSA na kampuni hiyo imetoa wito wa kufanyika mabadiliko katika sera za serikali.

Rais wa Microsoft ambaye pia ni ofisa mkuu masuala ya sheria wa kampuni hiyo, Brad Smith juzi Jumapili waliandika katika tovuti ya kampuni hiyo kwa kirusi cha kompyuta kilichotumika kutekeleza uvamizi wa mtandaoni kiliibwa kutoka NSA.

Kirusi hicho hutumia mapungufu katika mfumo wa ufanyaji kazi wa komyuta za Windows. Smith alisema mifumo ya serikali imevuja kwenye tovuti za umma na imesababisha uharibifu mkubwa.

Smith alisema uvamizi huo wa mtandaoni unatoa mfano mwingine wa sababu kuwa urundikaji wa taarifa hatarishi za serikali ni tatizo. Aliongeza kusema kuwa tukio hilo ni sawa na silaha hatarishi kuibwa kutoka jeshi la Marekani kwa mfano kombora aina ya Tomahawk kuibwa. Smith alitoa wito kwa serikali kutumia sheria au kanuni kulinda nyenzo za mtandaoni kama inavyolinda silaha zingine za kawaida.

Recently Published

»

BARAKAH AKANUSHA KUMWAGANA NA NAJ

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barakah The Prince amekanusha kumwagana ...

»

HATUTAMBUI URAIS WA KENYATTA – RAILA ODINGA

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya Nasa, Raila Odinga ...

»

TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI

Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu amempongeza ...

»

MAGAZETI YA LEO JUMATANO NOVEMBER 1, 2017

...

»

EAC PLACES HARD STANCE OVER DONOR FUNDS MANAGEMENT

EAC Secretary General Ambassador Liberat Mfumukeko  told the first ...

»

SCORPION AKUTWA NA KESI YA KUJIBU

Mshtakiwa Salum Njwete, maarufu kwa jina la ‘Scorpion’ amekutwa ...

»

ETHIOPIA’S B787-9 MAIDEN TRIP TO ‘KIA’ A BOOST TO TOURISM IN TANZANIA

The Boeing touching down to Kilimanjaro International Airport (KIA) ...

»

ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ...

»

6,400 IMPORTED CHICKS TO FACE CULL – TANZANIAN GOVERNMENT

Authorities will destroy 6,400 chicks which were smuggled from Kenya ...

Shares
0

Your Cart