banner

The New Stuff

212 Views

KAMPUNI YA BIA YA SBL YAZINDUA BIA MPYA IITWAYO SERENGETI PREMIUM LITE


Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL), mojawapo ya kampuni kubwa zinazozalisha bia hapa nchini, imezindua bia mpya aina ya Lite, ikiwa  ni muendelezo wa bia mama ya Serengeti Premium Lager iliyoko sokoni kwa miaka 20 iliyopita.
“Bia ya Serengeti Premium Lite inazalishwa kwa namna ya kipekee kwa kutumia utaalamu wakisasa.
Ina ladha kamili inayoburudisha zaidi ya bia za aina ya lite ambazo kwa sasa huuzwa rejareja sokoni”, alisema Mkurugenzi wa Fedha na Bodi ya SBL, Kalpesh Mehta, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wakati wa utambulisho. Kushoto ni mbunifu wa bia hiyo.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi huyo, bia hiyo inauzwa kwa Sh.1,500 kwa chupa na kwamba inatarajiwa kuteka soko  na jumuia ya wanywaji wake ambaokwakipindikirefuwamekuwawakitafuta  biahalisiyakitanzania.
“Pamoja na kuwa na furaha kubwa usiku huu ambapo tunashuhudia uzinduzi wa bia ya Serengeti Premium Lite, nisemekuwani bia halisi ya kitanzania yenye kiburudisho na ladha nyepesi.
Huu ni mwitikio wa wateja wetu ambao wamekuwa wakiitafuta bia ya aina hii kwa mudamrefu.
Kulia ni Meneja Masoko wa SBL, Anitha Rwehumbiza.
“Tunaami ni kuwa bia hii ya Serengeti Premium Lite, ambayo imebuniwa na kutengenezwa na wazalishajibia (bremasters) wakitanzania kwa watanzania, itawaleta wateja wetu pamoja zaidi kadri watakapokuwa wakifurahia urithi wetu waaina hii ya bia  ”, alisema Mehta.
Aliongeza kuwa, “Bia ya Serengeti Premium Lite inaubora uleule wa kimataifa sawa na biamama ya Serengeti Premium Lager ambayoimepokea zaidi ya medali 10 za ubora wakitaifa na kimataifa.”
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Sanaa, Dk Harrison Mwakyembe, aliisifia kampuniya SBL  kwa kuwa inaongoza kwa ubunifu katika sekta ya uzalishaji  wapombe nchini, na vilevile akaahidi kuwa serikali itaendelea kutoa msaada kwa sekta ya biashara hapa nchini.
 Muonekano ya bia hiyo katika chupa.
Dk.Mwakyembe ambaye aliwakilishwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka wizara yake, Leah Kihimbi, alisema SBL  imekuwa ikishiriki kikamilifu katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania akitaja mafanikio mbalimbali za program zake za kuisaidijamii.
“Programu za jamii zinazoendeshwa na SBL katika sekta ya elimu, kilimo na     ujasiriamali zimewezesha vijiji vingi hapa nchini kupata maji safi, watoto kupata elimu ya juu na mamia ya wakulima kupata masoko kwa ajili ya kuuza mazao yao ambapo SBL  hununua mazao yao kama malighafi inayotumika kuzalishiabia”, alisema Makamba.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti John Wanyancha (wa pili kushoto), akitosti glasi na wanahabari katika uzinduzi huo.

 

Recently Published

article image
»

7 DO-NOT Rules of High Performers

A short while ago, I shared the 5 must-follow rules of ...

article image
»

Why Strong Leaders Attract the Best Talent by Craig Ballantyne

On Monday, September 25, a small company called Royalty Exchange ...

article image
»

What We Can Learn from 2017’s Fallen CEOs

Before the roller-coaster ride of 2017 even began, Leadership Guru ...

article image
»

What it Really Means When an Employee Threatens to Resign

A coaching client recently wrote me saying, “I’ve been struggling ...

article image
»

6 Ways to Diffuse Workplace Conflict

Does this sound familiar? By many measures, you’re a successful ...

article image
»

How to Create Team Loyalty

A successful leader understands the value of building a strong team. ...

article image
»

3 Must-Know Tips for HR Management

While numbers are shifting, it’s clear that small businesses seldom ...

article image
»

7 Ways Businesses Can Improve Employee Retention

Recruiting, hiring, and training employees requires a lot of time and ...

article image
»

The 3-Bucket Approach to Building Wealth by Kass Rose

At the age of 25, I stumbled across a book by Malcolm Gladwell called ...

Shares
0

Your Cart