banner

The New Stuff

22 Views

NYALANDU AENDELEZA MAHUBIRI YA KATIBA MPYA BILA MIPAKA YA CHAMA


Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amesema kuwa baadhi ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi na wale wa upinzani wameungana na yeye katika hoja yake ya kutaka kurejea upya rasimu ya Katiba Mpya

Lazaro Nyalandu amesema hayo leo kupitia mitandao yake ya kijamii na kusema wabunge mbalimbali wamekuwa wakimuunga mkono kuhusu hoja ya kutaka kurejeshwa upya mchakato wa Katiba Mpya ambapo amepanga kuwasilisha bungeni katika Bunge la tisa linalotegemewa kuanza Novemba 7 mwaka huu mjini Dodoma.

Nyarandu amesema kuwa “Nawashukuru wabunge wenzangu CCM na Upinzani wanaounga mkono hoja ya kurejea upya rasimu ya Katiba Mpya kama iliyopendekezwa na Tume ya Warioba”.

Mbali na hilo Mbunge huyo amezidi kuwaomba Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokubali hoja zitakazopelekwa Bungeni zikiwa na lengo la kutaka kukiuka ukomo wa uongozi uliowekwa na Katiba wa miaka mitano na kuwataka Wabunge hao kujikta zaidi katika kupata Katiba Mpya ya Tanzania.

Hivi karibuni Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Nkamia alisema anakusudia kupeleka hoja Bungeni ili kufanya marekebisho ya Katiba na kuongeza ukomo wa uongozi kutoka miaka 5 mpaka miaka 7 kwa kila awamu. Jambo ambalo Nyalandu analipinga.

Recently Published

»

BARAKAH AKANUSHA KUMWAGANA NA NAJ

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barakah The Prince amekanusha kumwagana ...

»

HATUTAMBUI URAIS WA KENYATTA – RAILA ODINGA

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya Nasa, Raila Odinga ...

»

TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI

Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu amempongeza ...

»

MAGAZETI YA LEO JUMATANO NOVEMBER 1, 2017

...

»

EAC PLACES HARD STANCE OVER DONOR FUNDS MANAGEMENT

EAC Secretary General Ambassador Liberat Mfumukeko  told the first ...

»

SCORPION AKUTWA NA KESI YA KUJIBU

Mshtakiwa Salum Njwete, maarufu kwa jina la ‘Scorpion’ amekutwa ...

»

ETHIOPIA’S B787-9 MAIDEN TRIP TO ‘KIA’ A BOOST TO TOURISM IN TANZANIA

The Boeing touching down to Kilimanjaro International Airport (KIA) ...

»

ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ...

»

6,400 IMPORTED CHICKS TO FACE CULL – TANZANIAN GOVERNMENT

Authorities will destroy 6,400 chicks which were smuggled from Kenya ...

Shares
0

Your Cart