banner

The New Stuff

69 Views

OMARION AWEKA WAZI SABABU YA KUFANYA NYIMBO NA DIAMOND


Mkali wa RnB kutoka nchini Marekani, Omarion amefunguka sababu ya kufanya ngoma na mwanamuziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz.

Omarion amesema kuwa kuna miradi mingi sana ambayo amefanya na Diamond kwa sababu ana akili kubwa ya maendeleo.

Mwanamuziki amewataka mashabiki kuendelea kusubiri mengi kutoka kwake na Diamond, akisisitiza kuwa wamefanya miradi mingi mizuri na mikubwa.

Katika hatua nyingine, Omarion alisema kuwa aliamua kufanya video ya ‘Distance’ nchini Afrika Kusini kwa sababu Afrika ni Bara ambalo lina vitu vingi vya kipekee lakini watu wengi hasa wa Marekani hawajalitambua hilo.

Kolabo hiyo kubwa kwa Diamond imekuja siku chache baada ya kuanika mtandaoni vipande vya video ya wimbo aliofanya na Boss wa MMG, Rick Ross.

Mwanamuziki huyo usiku wa kuamkia leo aliwapa shangwe wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwa tamasha la aina yake katika ukumbi wa klabu Element uliopo Masaki.

Recently Published

article image
»

7 DO-NOT Rules of High Performers

A short while ago, I shared the 5 must-follow rules of ...

article image
»

Why Strong Leaders Attract the Best Talent by Craig Ballantyne

On Monday, September 25, a small company called Royalty Exchange ...

article image
»

What We Can Learn from 2017’s Fallen CEOs

Before the roller-coaster ride of 2017 even began, Leadership Guru ...

article image
»

What it Really Means When an Employee Threatens to Resign

A coaching client recently wrote me saying, “I’ve been struggling ...

article image
»

6 Ways to Diffuse Workplace Conflict

Does this sound familiar? By many measures, you’re a successful ...

article image
»

How to Create Team Loyalty

A successful leader understands the value of building a strong team. ...

article image
»

3 Must-Know Tips for HR Management

While numbers are shifting, it’s clear that small businesses seldom ...

article image
»

7 Ways Businesses Can Improve Employee Retention

Recruiting, hiring, and training employees requires a lot of time and ...

article image
»

The 3-Bucket Approach to Building Wealth by Kass Rose

At the age of 25, I stumbled across a book by Malcolm Gladwell called ...

Shares
0

Your Cart