banner

All posts by: Jasim

308 Views

BARAKAH AKANUSHA KUMWAGANA NA NAJ

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barakah The Prince amekanusha kumwagana na mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki mwenzake, Naj baada ya kutoonekana wakiwa pamoja. Baraka amesema hayo baada ya kuenea taarifa kuwa wawili hao wameachana kwasasa kutokana na ...

banner
banner
229 Views

HATUTAMBUI URAIS WA KENYATTA – RAILA ODINGA

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya Nasa, Raila Odinga ameapa kuendelea kufanya maandamano dhidi ya uchaguzi wa Uhuru Kenyatta akisisitiza kuwa upinzani haumtambui. Odinga amesema kuwa Nasa haitambui uchaguzi huo kwa kuwa mwenyekiti wa ...

banner
banner
241 Views

TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI

Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu amempongeza aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki(CCM), Lazaro Nyalandu kwa kupata ujasiri wa kuchukua hatua kubwa ambayo hata wabunge wengi waliopo ndani ya CCM wanashindwa kuichukua. Lissu ambaye ...

205 Views

EAC PLACES HARD STANCE OVER DONOR FUNDS MANAGEMENT

EAC Secretary General Ambassador Liberat Mfumukeko  told the first EAC Development Partners Consultative Forum here yesterday that the secretariat has already recruited the manager for the Partnership Fund, with the view of enhancing fund ...

211 Views

SCORPION AKUTWA NA KESI YA KUJIBU

Mshtakiwa Salum Njwete, maarufu kwa jina la ‘Scorpion’ amekutwa na kesi ya kujibu katika mahakama ya Wilaya ya Ilala leo. Scorpion anakabiliwa na kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi ana kesi ya kujibu na anatarajiwa kuanza ...

214 Views

ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa huru kwa dhamana na kutakiwa kuripoti siku ya Jumanne saa tatu asubuhi kwa Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai (DCI) jijini Dar es Salaam. Mwanasheria wa Zitto Kabwe ...

213 Views

6,400 IMPORTED CHICKS TO FACE CULL – TANZANIAN GOVERNMENT

Authorities will destroy 6,400 chicks which were smuggled from Kenya into Tanzania through the Namanga Border Post in Longido District. Police are holding Ms Mary Matia, the owner of the chicks worth Sh12.5 million. Northern Zone veterinarian Obedi ...

Page 1 of 21712345...102030...Last »

0

Your Cart