banner

All posts by: Jasim

banner
banner
28 Views

KIFO CHA FARU JOHN YABAINIKA UKWELI WAKE

Tume maalum iliyoundwa na Waziri mkuu Kassim Majaliwa kwa ajili ya uchunguzi kuhusiana na sakata la mnyama Faru John imekabidhi taarifa ya uchunguzi wa ripoti hiyo. Tume hiyo imethibitisha kifo cha Mnyama huyo na kutoa mapendekezo ya kuchukuliwa kwa ...

banner
banner
45 Views

RAIS WA ZAMANI WA KOREA KUSINI KUKAMATWA

Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini Korea Kusini inatafuta kumkamata aliyekuwa rais wa nchi hiyo Park Geun-hye kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma za rushwa. Taarifa iliyotolewa na makao makuu ya ofisi hiyo iliyopewa jukumu la kuchunguza kashfa ya ...

53 Views

JWTZ WAKUBALI KULIPA DENI LA TANESCO

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limekiri kudaiwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Sh bilioni tatu na kwamba linatarajia kuanza kupunguza kiasi cha deni hilo kwa kwa kuanza kulipa Sh bilioni moja leo. Hayo yalibainishwa na Mkuu ...

Page 199 of 207« First...102030...197198199200201...Last »

0

Your Cart