banner

All posts by: Jasim

banner
banner
banner
banner
2 Views

WAZIRI KIGWANGALA AFUTA VIBALI VYOTE VYA UWINDAJI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla amefuta vibali vyote vya uwindaji kwa kampuni kuanzia Oktoba 22,2017 na kutoa siku 60 kwa watendaji ili waratibu mchakato upya utakaowezesha vitalu kugawiwa kwa mnada. Dk Kigwangalla pia amemwagiza ...

2 Views

ALIYECHUNGUZA MWILI WA KANUMBA ATOA USHAHIDI

Daktari bingwa wa uchunguzi wa magonjwa ya binadamu na vifo vyenye kutia shaka, Innocent Mosha kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili ameieleza Mahakama Kuu alichobaini baada ya kuufanyia uchunguzi mwili wa msanii wa fani ya uigizaji wa filamu nchini, ...

5 Views

RAILA ODINGA ASISITIZA KUTOFANYIKA UCHAGUZI OKTOBA 26

Kiongozi wa Muungano wa Upinzani Kenya NASA, Raila Odinga amesisitiza kuwa hakuna uchaguzi utakaofanyika siku ilipangwa na Tume ya Uchaguzi nchini humo Oktoba 26. Odinga ameyasema hayo jana wakati akiwahutubia wafuasi wake jana eneo la Bondo ...

Page 2 of 20712345...102030...Last »

0

Your Cart