banner

All posts by: Jasim

banner
banner
9 Views

TAARIFA YA IGP SIRRO KUHUSU TUNDU LISSU KUFWATULIWA RISASI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amefunguka na kusema watu ambao wamefanya uhalifu wa kumpiga risasi Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu wanaweza patikana ikiwa wananchi watasaidia jeshi hilo kupata taarifa za wahalifu hao. IGP ...

banner
banner
10 Views

UTAPIAMLO NI JANGA LA KITAIFA – DK. MPANGO

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema utapiamlo ni janga la Kitaifa na kwamba theluthi moja ya vifo nchini inasababishwa na tatizo hilo. Ametoa kauli hiyo juzi jioni (Jumatano, Septemba 6, 2017) wakati akitoa nasaha kwenye mkutano wa ...

9 Views

SIMBACHAWENE ATOA UTETEZI WAKE BAADA YA KUJIUZULU UWAZIRI

Aliyekuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa , George Simbachawene ambaye amejiuzulu nafasi yake hiyo kufuatia agizo la Rais kuwataka watu waliotajwa kwenye ripoti ya Tanzanite na Almasi kupisha, amefunguka na ...

10 Views

TLS YATOA TAMKO KULAANI TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI

Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kimepokea kwa mshtuko na masikitiko tukio la Rais wa chama hicho, Tundu Lissu la kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake Dodoma jana Alhamisi mchana. Katika taarifa kwa umma, TLS ...

Page 30 of 207« First...1020...2829303132...405060...Last »

0

Your Cart