banner

All posts by: Jasim

9 Views

SHEIKH WA MKOA WA MOROGORO AFARIKI DUNIA MUHIMBILI

Shinikizo la damu ambalo linaelezwa kuwa kwenye kundi la magonjwa yasiyoambukiza na kuongoza kwa kusababisha vifo kwa sasa, limemuua Sheikh wa Morogoro, Abdallah Mkang’ambe (48) ikiwa ni miezi 17 tangu achaguliwe kushika wadhifa huo. Akizungumzia ...

banner
banner
banner
banner
10 Views

PICHA ZA KWANZA ZA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOKA ICU

Familia ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu imesema kwamba kwa mara ya kwanza ndugu yao alipotolewa nje kupata hewa na kuota jua kauli yake aliyoitoa alisema kuwa ni sawa na ukiwa mfungwa huoni jua, mawingu wala hupigwi upepo wa ...

13 Views

KOCHA MAYANJA WA SIMBA AJIUZULU

Maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kutoka makao makuu jijini Dar es Salaam, wamewahoji kwa zaidi ya saa sita, madiwani waliojiuzulu Chadema wanaotuhumiwa na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kuwa walipewa ...

10 Views

WAZIRI NCHEMBA AFAGILIA UTENDAJI KAZI WA MRISHO GAMBO

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba ameipongeza kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha chini ya mwenyekiti  Mrisho Gambo ambaye ni mkuu wa mkoa kwa kuendelea kufanikisha ujenzi wa nyumba za Askari. Waziri Mwigulu ametoa pongezi hizo ...

11 Views

MTATIRO AWAJIA JUU TAKUKURU KUHUSU NASSARI

Baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, kutoa onyo kwa Mbunge Nassari kuhusu ushahidi anaoutoa kuhusu wateule wa Rais kuwanunua madiwani Arusha, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, (CUF) Julius Mtatiro ameitaka taasisi hiyo kuchukua hatua na ...

Page 5 of 207« First...34567...102030...Last »

0

Your Cart