banner

All posts in: Entertainment

308 Views

BARAKAH AKANUSHA KUMWAGANA NA NAJ

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barakah The Prince amekanusha kumwagana na mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki mwenzake, Naj baada ya kutoonekana wakiwa pamoja. Baraka amesema hayo baada ya kuenea taarifa kuwa wawili hao wameachana kwasasa kutokana na ...

banner
banner
banner
banner
64 Views

IRENE UWOYA AKIRI KUOLEWA NA DOGO JANJA

Muigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya amefunguka na kuweka wazi juu ya tetesi iliyopo mtaani kuhusu kuolewa na msanii wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja na kusema ni kweli ameolewa na msanii huyo kwani ndiye mwanaume wa ndoto yake. Irene Uwoya ...

36 Views

ZARI KWA DIAMOND KUHUSU TUZO NYINGINE TENA

Baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kupewa tuzo na kampuni ya muziki maarufu duniani Universal Music Group hatimaye mpenzi wake Zarry amempongeza kwa mafaniko hayo. Kupia akaunti yake ya Instagram Zarry the Boss Lady amempongeza ...

Page 1 of 5012345...102030...Last »

0

Your Cart