banner

All posts in: News

28 Views

GABON YAANZISHA MAZUNGUMZO YA KITAIFA

Mazungumzo shirikishi ya kisiasa yenye lengo la kuhitimisha hitilafu na tofauti za kisiasa nchini Gabon yameanza rasmi. Hafla ya ufunguzi wa mazungumzo hayo yatakayoendelea kwa muda wa wiki tatu ilifanyika siku ya Jumanne kwa hotuba ya Rais Ali ...

banner
banner
27 Views

GOVERNOR OF GHANA’S CENTRAL BANK RESIGNS

The Governor of the Bank of Ghana Dr Abdul Nashiru Issahaku has resigned after a year as the head of the country’s central bank. He is reported to have cited personal reasons for his decision which takes effect April 1, 2017. Dr Abdul Nashiru ...

banner
banner
21 Views

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI SOMALIA LAIDHINISHWA

Bunge la Somalia limeidhinisha orodha ya baraza jipya la mawazari waliotangazwa na waziri mkuu wa Somalia Hassan Ali Kheyre wiki iliyopita. Katika kikao cha bunge kilichofanyika kuidhinisha baraza hilo, kati ya wabunge 241, wabunge 224 walipiga kura ...

35 Views

SAA TATU ZA MAKONDA NA KAMATI YA BUNGE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo amefika mbele ya kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge kufuatia wito wa Kamati hiyo kumtaka afike mbele ya kamati kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge ...

21 Views

WAZIRI MWAKYEMBE AIZIMA RIPOTI YA NAPE NNAUYE

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe leo amezungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma mara baada ya kukaribishwa rasmi Wizarani hapo. Baada ya maongezi aliruhusu mwaswali ambapo moja ya swali aliloulizwa na ...

25 Views

RAIS MAGUFULI ATEUA KAMATI KUCHUNGUZA MADINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dr. John Magufuli ameteua kamati maalumu ya wataalamu watakaofanya uchunguzi kwa lengo la kubaini kiwango cha madini kilichopo kwenye makontena yenye mchanga wa madini yanayoshikiliwa katika maeneo ...

Page 197 of 205« First...102030...195196197198199...Last »

0

Your Cart