banner

All posts in: News

28 Views

KENYATTA AMVAA ODINGA KWA KUJITOA KWENYE UCHAGUZI

Rais Uhuru Kenyatta amemjia juu Kiongozi wa NASA Raila Odinga baada ya kutangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 26 mwaka huu nchini Kenya na kusema hata kama amejitoa Katiba ya Kenya haijazuia uchaguzi ...

banner
banner
banner
banner
33 Views

KAULI YA MTATIRO BAADA YA KUMUONA TUNDU LISSU HOSPITALI

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, (CUF) Julius Mtatiro amesema kuwa amepata bahati ya kumuona Mbunge Tundu Lissu hospitali na kusema kuwa Lissu ni mtu asiyeogopa na mwenye maono makubwa. Mtatiro anasema kwa muda ambao ameweza kukaa na Lissu hospitali ...

30 Views

UTEUZI WA RAIS MAGUFULI KUPINGWA MAHAKAMANI

Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kusikitishwa na uteuzi wa Rais John Magufuli wa Katibu wa Bunge. ACT katika taarifa yake jana Jumapili, imesema Rais ameamua kuyaweka pembeni matakwa ya sheria yanayoongoza mchakato wa uteuzi wa Katibu wa Bunge na ...

27 Views

LISSU AMEFANYIWA UPASUAJI MARA 14 – MBOWE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefanyiwa upasuaji mara 14 na ataendelea kufanyiwa upasuaji mwingine ndani ya wiki mbili zijazo. Mbowe amesema hayo kwenye mazishi ya marehemu Philip Gekul, ...

Page 20 of 214« First...10...1819202122...304050...Last »

0

Your Cart