banner

The New Stuff

banner
banner
banner
banner
45 Views

MAYANGA ATANGAZA KIKOSI KITAKACHOIKABILI BENIN

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Salum Mayanga leo ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Benin utakaofanyika Novemba 11 mwaka huu. Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya ...

25 Views

KIGAILA AENDELEA KUSOTA RUMANDE

Mkurugenzi wa mafunzo wa Chadema, Benson Kigaila ameendelea kusota rumande mpaka sasa huku dhamna yake ikiwa bado haijatolewa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Lazaro Mambosasa, amethibitisha kuwepo kwa Kigaila rumande katika kituo kikuu cha polisi ...

23 Views

GAVANA MTEULE AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUMTEUA

Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema amepokea kwa heshima kubwa dhamana aliyopewa na Rais John Magufuli na anatambua changamoto za nafasi hiyo. Profesa Luoga ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es ...

Page 10 of 257« First...89101112...203040...Last »

0

Your Cart