banner

The New Stuff

25 Views

MAHAKAMA TANZANIA YAENDELEZA MABORESHO

Kitengo cha usimamizi wa maboresho ya mahakama ya tanzania ikiongozwa na mratibu wa kitengo hicho Bi. Zahara Maruma wamewasilisha maendeleo ya maboresho ya mahakama. Hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam mbele ya mtendaji mkuu wa mahaka ya Tanzania ...

banner
banner
39 Views

MFUKO WA WANAKE KUTUNISHWA PWANI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo ameziagiza Halmshauri zote za mkoa huo kuhakikisha kuwa zinatenga asilimia tano ya mapato yao ya ndani kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya wanawake.  Agizo hilo limetolewa kwa niaba yake na Mkuu wa ...

banner
banner
87 Views

DANGOTE KUCHANGIA UKUAJI WA UCHUMI WA DODOMA

Kampuni ya Dangote iliyojikita zaidi kwenye uzalishaji wa saruji kupitia kiwanda chake kilichopo mkoani Mtwara, imesema inafungua kituo kikubwa cha uuzaji wa saruji mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana amesema kuwa tayari mkoa ...

22 Views

WANAUME KIGOMA KUKOMA KUWAFUKUZA WANAWAKE

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu Emanuel Maganga amepiga marufuku vitendo vya baadhi ya wanaume Mkoani humo kuwadhurumu na kuwatishia kuwafukuza wake zao pindi wanapotetea haki zao, na badala yake amewataka washirikiane nao kutambua ...

19 Views

NAPE AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUWA HURU

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya habari kuwa huru huku akisema serikali haina uadui hivyo havipaswi kuigopa kwa sababu imebeba dhamana kubwa ya kuliongoza taifa. Amesema Serikali ina ajenda kadhaa za ...

Page 239 of 247« First...102030...237238239240241...Last »

0

Your Cart