banner

The New Stuff

banner
banner
banner
banner
24 Views

NAPE DISTANCED HIMSELF FROM RUMOURS

Mtama MP Nape Nnaye has refuted reports that he planned to hold a news conference here in the morning. Rumours of Mr Nnauye’s news conference spread on social media yesterday after Singida North MP Lazaro Nyalandu announced that he ditched CCM to ...

35 Views

JESHI LA KUJENGA TAIFA – JKT 2017 ZATANGAZWA

TAARIFA KWA UMMA Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Michael Isamuhyo anawatangazia vijana wote wa Tanzania Bara na Visiwani nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea mwaka 2017. Utaratibu wa vijana ...

25 Views

LOWASSA ACHEKELEA NYALANDU KUIPIGA CHINI CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amemkaribisha aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, ambaye amejivua nyadhifa zote alizokuwa nazo CCM. Nyalandu (47), ambaye pia alikuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, ...

23 Views

MEYA WA JIJI LA MWANZA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI

Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire anashikiliwa na Polisi ikidaiwa ni kutokana na agizo la mkuu wa mkoa huo, John Mongella. Hata hivyo, Mongella amekana kuamuru kukamatwa kwa kiongozi huyo anayeshikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Jiji la ...

Page 3 of 25712345...102030...Last »

0

Your Cart